S Salary Slip Platinum Member Joined Apr 3, 2012 Posts 49,390 Reaction score 152,301 Feb 27, 2017 #1 Ukipatikana na hatia ya kughushi nyaraka ya serikali mahakani adhabu yake ni nini? Kosa la kughushi lina dhamana? Naomba majibu kwa wanaojua.
Ukipatikana na hatia ya kughushi nyaraka ya serikali mahakani adhabu yake ni nini? Kosa la kughushi lina dhamana? Naomba majibu kwa wanaojua.
MKWEPA KODI JF-Expert Member Joined Nov 28, 2015 Posts 28,701 Reaction score 71,056 Feb 27, 2017 #2 Ukiwa na kadi ya ccm sio kosa bali ni sifa
S Salary Slip Platinum Member Joined Apr 3, 2012 Posts 49,390 Reaction score 152,301 Feb 27, 2017 Thread starter #3 Ila mpinzani hata ukiota ndoto dhamana hupewi!
MrIsidori Senior Member Joined Apr 3, 2014 Posts 191 Reaction score 83 Feb 27, 2017 #4 Umetisha Mkuu!
A AAQIL Member Joined Feb 26, 2017 Posts 9 Reaction score 3 Feb 27, 2017 #5 Salary Slip said: Ukipatikana na hatia ya kughushi nyaraka ya serikali mahakani adhabu yake ni nini? Kosa la kughushi lina dhamana? Naomba majibu kwa wanaojua. Click to expand... Mkuu salary slip hata mimi ningependa kufahamu mana kuna ishu imefanyika ardhi inaendana na ulichokiuliza hapa
Salary Slip said: Ukipatikana na hatia ya kughushi nyaraka ya serikali mahakani adhabu yake ni nini? Kosa la kughushi lina dhamana? Naomba majibu kwa wanaojua. Click to expand... Mkuu salary slip hata mimi ningependa kufahamu mana kuna ishu imefanyika ardhi inaendana na ulichokiuliza hapa