Kosa la kutakatisha fedha, nini maana yake?

Ubuyu mchafu

New Member
Joined
Nov 26, 2022
Posts
4
Reaction score
41
Habari wakuu,

Nimekuwa nikiskia sana kuhusu baadhi ya watu wakikamatwa na polisi na kupelekwa mahakamani kwa kosa la kutakatisha fedha.

Wengine shughuli zao za kuwaingizia pesa ni za kawaida kabisa lakini wanafunguliwa kesi za kutakatisha fedha.

Je, Nini mamana halisi ya kosa la utakatishaji fedha?

Mimi kama kijana naona kuna umuhimu wa kujua kuhusu maana halisi ya utakatishaji fedha, mwezi ulio pita nimekutana na vijana wanao teseka na kezi za namna hii wakiwa mahabusu.
 
Kwa ufupi tu,ni kuchukua pesa chafu na kiziingiza kwenye mzunguko wa pesa Safi! Mfano pesa ya madawa ya kulevya unajengea Nyumba za kupangisha! Kodi ya Nyumba itakua ni pesa Safi,lakini ile pesa ya madawa uliyojengea hizo Nyumba ni chafu!!
 
Back
Top Bottom