Kosa la kutukana na kutoa matusi

Teh teh sasa na wale wazaramo ambao kipigo chao wanakitoa kwa maneno tu lakini mtu anapoteza uhai ,watashitakiwa kwa makosa gani ??
hiyo ni kuua bila kukusudia mkuu. Kama kweli ikidhihilika matusi/maneno yamesababisha kifon ni kifungo cha miaka mitano (5).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…