Kosa la Popat ni kuleta utopolo pale Azam

Kosa la Popat ni kuleta utopolo pale Azam

Huyu jamaa ni hasara sana na sijui kwa nini ameaniwa kupewa timu huku utopolo umejaa kichwani.

Azam haiwezi kufika popote iwapo timu ipo kwa ajili ya kushindana na Simba tu. Timu lazima iwe na malengo ya kisoka

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Basi timu upewe wewe tuone kama utaifunga Yanga!
 
Back
Top Bottom