UmeguswaHaitakusaidia kitu wewe masikini na juha,mnaongea vitu bila kuwa na ushahidi. Kazi yenu kubwa kuchafua watu.
Basi timu upewe wewe tuone kama utaifunga Yanga!Huyu jamaa ni hasara sana na sijui kwa nini ameaniwa kupewa timu huku utopolo umejaa kichwani.
Azam haiwezi kufika popote iwapo timu ipo kwa ajili ya kushindana na Simba tu. Timu lazima iwe na malengo ya kisoka
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app