Kosa la ulevi kazini linathibitishwa vipi?

Kosa la ulevi kazini linathibitishwa vipi?

Tumbo Tumbo

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2018
Posts
1,278
Reaction score
1,553
Wakuu Habari, Kuna Ndugu Yangu amesimamishwa Kazi Kwa Kosa La Kuingia Kazini Akiwa Amelewa, Je Kisheria Ikoje, ni Nani Mwenye Mamlaka Ya Kujua Kiwango Cha Ulevi?
 
Hebu fanya uchunguzi maana hii ilitumika pia kumtumbua Charles Muhangwa Kitwanga.
 
Back
Top Bottom