Tumbo Tumbo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2018 Posts 1,278 Reaction score 1,553 Apr 30, 2019 #1 Wakuu Habari, Kuna Ndugu Yangu amesimamishwa Kazi Kwa Kosa La Kuingia Kazini Akiwa Amelewa, Je Kisheria Ikoje, ni Nani Mwenye Mamlaka Ya Kujua Kiwango Cha Ulevi?
Wakuu Habari, Kuna Ndugu Yangu amesimamishwa Kazi Kwa Kosa La Kuingia Kazini Akiwa Amelewa, Je Kisheria Ikoje, ni Nani Mwenye Mamlaka Ya Kujua Kiwango Cha Ulevi?
Daghaseta JF-Expert Member Joined Aug 15, 2015 Posts 396 Reaction score 535 Apr 30, 2019 #2 Hebu fanya uchunguzi maana hii ilitumika pia kumtumbua Charles Muhangwa Kitwanga.