kosa lililofanyika ndo hili

Cyprian shayo

Member
Joined
Sep 25, 2011
Posts
17
Reaction score
0
nilihitaji girl friend but nlisahau kuweka criterias(vigezo).vigezo ni viwili 2.navyo ni age iwe less than 24 yrs old, pili ni busara,hekima na utashi.contact ni ile ile 0782050530
 
Heeheeee! Ulipata vibibi vizee au?! Haya subiri wahusika watakuja....
 
Huyu mbona kama anacheza makida makida...oohh mara nimesahau, ooohh mara imekuwa hivi...dahhh
 
Kwan ulikua hujapata 2 mkuu?
 
Kutangaza kote huko bado hujapata tu? Inashangaza kwa kuwa hata kilongalonga ulishakianika!
 
una shamba/kiwanja kaka?
una gari aina gani?

utawanunulia wakwe zako I phone?
na shemeji zako Blackberry?

unabiashara gani mjini? umeejiriwa ?kazi gani?
ninakiwanja nilipewa moshi je utakuwa tayari kujenga ili tukiwa tunaeda dec tupate kwa kufikia?

..........ka yes basi ni pM Faster
 
nilihitaji girl friend but nlisahau kuweka criterias(vigezo).vigezo ni viwili 2.navyo ni age iwe less than 24 yrs old, pili ni busara,hekima na utashi.contact ni ile ile 0782050530

mkuu wangumimi nilipata mrembo wangu hapa hapa JF..unachotakiwa ni kufunguka na kuweka picha yako..hapa jf wadada wap kibao tu ambao umri wao ni chini ya 24.
all the best
 
HAhaha kijana jiweke wazi wadada wakuone taja na wewe umri wako, shughuli zako, elimu yako unaoishi wapi na unaishi na nani hivi vyote vinaweza kuwa influence masista
 
nilihitaji girl friend but nlisahau kuweka criterias(vigezo).vigezo ni viwili 2.navyo ni age iwe less than 24 yrs old, pili ni busara,hekima na utashi.contact ni ile ile 0782050530

sasa mimi nipo45 and i am interested.naruhusiwa kukupigia?
 
addition,una master card visa card? na je unatumia dawa ya penzi?
 
nilihitaji girl friend but nlisahau kuweka criterias(vigezo).vigezo ni viwili 2.navyo ni age iwe less than 24 yrs old, pili ni busara,hekima na utashi.contact ni ile ile 0782050530

mmh girlfriend? mi nlijua mchumba wa kuoa
 
mbona dada yangu kila akipiga anaambiwa
'ahsante kwa kutumia huduma ya airtel,naba unayopiga......'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…