Kosa ni kupasha kiporo...

Hahahaha umenikumbusha my x tuliachana akiwa bado ananipenda baada ya two years akawa anataka tupashe kiporo nikagoma sasa baadae nikaja jua kaukwaa na mwanae hamyonyeshi alitaka aniambukize na mm nikawa nimepona, uroho sio mzuri
Achaa utani mkuu mbona unaniogopesha aisee[emoji47][emoji47][emoji24][emoji24]
 
Hiyo mbona ni sheria ya toka kitambo sana ila wengi wanaipuuzia tu.

Usirudie matapishi!!

Ukiacha acha mazima usirudie hata iweje.
 

Hata kama ni hadithi tu ina mafundisho makubwa sana.
 
kiporo kinapashwa tena kwa roho saaafi, acha kutupiga mikwara sisi akina microwave
 
mh umenitisha!!
kumbe mtu anaweza kuwa na roho mbaya kiasi hiki.
 
Kuna manzi alikuwa anarudirudi huku najua tulipoachana kuna msela alikuwa anammega na msela mwenyewe inasemekana kawaka, nikakwambia kapime uje na majibu maana hamimu nasikia ana ngoma, akajifanya kukataa hamimu ndo nani ila mpaka leo hajanitafuta tena na viporo nimekoma
 
Kupasha nakoo so mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…