Kosa ni kupasha kiporo...

Eti "Boss" we binti ni mjanja sana huwa naogopaga PM za ma legend wa JF ngoja leo niende PM mungu nisaidie 😱😱
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ....eti mjanja! Tatizo lako unajistukia sana!

Haya turudi kazini sasa....jamaa anakusubiria utoke meeting Boss mzigo anao hapo getini, simu yako haipatikani[emoji15] [emoji15]

Wee mtu bana unanitesa na hizi issues daaah!
 
Ngwengwe noma sana!! Kumeza yale maharage kila siku is a task, a really big task...

Abstinence...one partner..stay faithful!!!
Mimi kumeza pills za kawaida ndani ya week 1 tu huwaga ninaona kuwa ni mtihani
 
Hii story ina mafunzo makubwa, Back to topic. Kulala na demu siku moja hata Kama ana ngoma, ni vigumu kupata.. Pia je, yule mwanamke alikuwa na uhakika gan kuwa siku waliyo lala alifanikiwa kumpa ngoma?
Otherwise wamelala zaid ya hyo mara moja uliyo isemea kwenye hii story
 
Story ina mafunzo but it is just a story

Sijaelewa kuhusu revenge ilipotoka, wakati waliachana kwa amani na walikubaliana kuwa penzi lao haliwezi kuwa

By the way, the other side of story,watu wengi wanaoa na wanajenga maisha na ma-ex wao, watu wengi wanasaidiwa na ma-zao

That's life
 

Wife niruhusu niseme hili kwa ajili ya vijana...

Wakati nikiwa kijana sikuwa nikikosa kuwa na pakiti ya KINGA mfukoni. Popote nilipo.

Mara nyingi inakuwa unatunukiwa game halafu naingia kwenye mfuko natoa pakiti, mdada anaanza kuongea, "we mhuni unatembea na kinga..." Mara nyingi vijana huogopa kuambiwa hivyo (au maneno yafananyo na hayo) na kujikuta katika mitihani ya huyo X na mwenza wake.

Kama umeamua kuwa mhuni, tembea na kinga zako, BETTER SAFE THAN SORRY.

Hatutaki watoto wasiotarajiwa.

Hatutaki maradhi yanayozuilika.

Alamsik.
 


Umenikumbusha rafiki yangu hupenda kusema, "Kupata UKIMWI ni hadi ulogwe."

Ila bwana...hivi vitu ni SIKU MOJA tu...inaingia!!!
 
Really??inahitaji siku ngapi kupata ngoma?
 
Kinachoniudhi kabisa ni hiki:

Watu mmekutana, mkavutiwa nakutaka kuanzisha mahusiano. SAWA

Katika kufahamiana mkagundua IMANI zenu ni tofauti. Tena mna IMANI KALI. SAWA

KWANZA KABISA: Imani kali na bado mnazini, ni imani gani hizi...lakini SAWA

Mnaendelea hadi kuzalishana kisha mnatumia kisingizio cha imani kuachana.

HII SI SAWA kabisa.

Kama mmetamaniana...tianeni tu ila chukueni hatua kujikinga na maradhi na mimba zisizotarajiwa hadi pale mtakapopata wenza wenu.

Au kuna mmoja anakuwa anamdanganya mwenzake kuwa atabadili dini? Au mtasingizia wazazi? SI SAWA KABISA

Acheni ujinga huu wa kuzalishana halafu mnajifanya DINI KALI...dini kali wapi wazinzi watupu!

ACHENI HIZO.
 
Switi wafia dini huwa wanamambo sana.
 
Hujawahi kuona mtu kachukia lakini anasema "am okay" na ukimwangalia yupo okay kweli.
Anyway huyo mwanamke ni roho mbaya tu na possible hiyo miaka yote hakupata mtu hata wa kumwambia kwa utani amuoe, akaona arudishe hasira kwa jamaa.
 
100%...!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…