Kosa ni kupasha kiporo...

Unamtisha mpenzi wako
asiende kupasha kipolo?
mwosha naye huoshwa.
lakini asante kwa ujumbe.
 
Ma - Ex's Wetu Mara Nyingi Tukikutana Nao Huwa Wanatamani Watuone Tumepigika Zaidi.Hata Umtumie Text Unaomba Akukope Hata Angalau 10K.

Muda Mwingine Anatamani Akuone Umekonda Sana Huna Afya Ya Kuridhisha, Kwake Ndio Furaha.

Au Akuone Kila Siku Unagombana Na Konda Kuhusu Nauli.
 
Ndo hivo, sasa ex aone jamaa kawa na familia ye anadoda tu geto kwake, kaona isiwe tabu wakose wote
 
Hii ni true.... !

Watu wanajifanya kuwa wanaheshimu dini zao pale inapotokea swala la mahusino! Mwisho wa siku madhambi wanayofanya chini ya kivuli cha dini huwa ni makubwa kuliko maelezo.
 
Kuna Golden rule alinambia uncle wangu long ago during my teenage years..... Alisema kuwa mwanamke akikosa hekima ya kike na akajaribu kushindana na mwanaume, kushindwa ni uhakika...


Hapa naona kuwa ni kweli
 
Unapotunga uongo basi angalia unawaambia akina nani!

Na pia ujaribu kuangalia kiwango cha madhara kitakachojitokeza......
 
Viporo tutapasha tu hakuna namna, viporo vingine huwezi kuviepuka.
 
Nimepata kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…