mkulima gwakikolo
JF-Expert Member
- Nov 22, 2014
- 1,767
- 2,858
Hata Mitume na manabii hawavuki kirahisi katika nchi zao,na walipewa majina hayo hayo ya kishetani waliitwa wachawi lakini walitoboa.Utawala wa kishetani kabisa kuwahi kutokea
hapana labda huelewi tulichokifanya,mambo yote yamekwenda kama yalivyopangwa ,kilichotuharibia ni jamaa wa waliofanikisha Zanzibar wao walikuwa na jazba kubwa sana iliyowapelekea kuharibu kila kitu na kuwacha uchi.maana ukiuwa lazima yatakuwepo matanga ,ukiuliza unaambiwa kapigwa risasi na unaonyeshwa mpaka ilipoingia risasi na spitali aliyopelekwa,baya zaidi kapigwa risasi akiwa yupo nje ya nyumba yake amekaa.Roho za kichawi na roho mbaya ziliwazidi kuiba Hadi wakaharibu nadhani waliotoa ushauri wa kuiba kiujinga hivi walikuwa washamba kupitiliza, ushindi umekuwa Hadi aibu aisee
Damu za mliowaua zinawalilia hazitapotea bure maccm hata mfanyeje . Kwani wale wahutu mliowakodi toka Burundi mkawslipa bilioni kumi mkawavalisha sare za naniliu mkawapeleka Zanzibar mliwapa kazi gani ? Si ndio wametekeleza .Wadau hasa wale wa Chama chetu cha CCM ,tukubali na tuseme ukweli Uchaguzi umeisha,kuna kitu kimoja kimetuharibia Uchaguzi huu na kuwaweka viongozi wakuu katika wakati mgumu,japo tunajikaza kisabuni...
CCM huwa hamna aibu Wala kukua kiakili licha ya kutawala nchi hii miaka zaidi ya hamsini mumeshindwa kuitoa nchi kwenye tope la umaskini, Bora ccm ya Nyerere ilikuwa na wazalendo na waheshimu haki tofauti na Sasa kazi imebaki kuua raia na kushindwa kuheshimu hata katiba.hapana labda huelewi tulichokifanya,mambo yote yamekwenda kama yalivyopangwa ,kilichotuharibia ni jamaa wa waliofanikisha Zanzibar wao walikuwa na jazba kubwa sana iliyowapelekea kuharibu kila kitu na kuwacha uchi.maana ukiuwa lazima yatakuwepo matanga ,ukiuliza unaambiwa kapigwa risasi na unaonyeshwa mpaka ilipoingia risasi na spitali aliyopelekwa,baya zaidi kapigwa risasi akiwa yupo nje ya nyumba yake amekaa...
Nikupe mfano wa kituo kimoja tu ambacho mgombea urais wa kwa tiket ya Chadema alipata kura 29 lakini chakushangaza matokeo yalipotoka kwenye jimbo walisema kapata kura 2., mifano iko hivyo kila mahali nchi nzima, ata kina Lipumba ameona hii hali ata ccm wenyewe mara kadhaa wanasikika wakisema "kwa ushindi kama huu hauna raha hata kidogo tunashindwa kufurahi kwa kilichofanyika"Tatizo wapinzani upepo mnashindana na propaganda za uchaguzi...
Kwa ulichokindika tu hapa na hasa hasa Flow yako inahitaji Mtu kuwa na Akili ya kama Mwendawazimu vile Kuamini kuwa Wewe ni 100% CCM Fan.Wadau hasa wale wa Chama chetu cha CCM ,tukubali na tuseme ukweli Uchaguzi umeisha,kuna kitu kimoja kimetuharibia Uchaguzi huu na kuwaweka viongozi wakuu katika wakati mgumu,japo tunajikaza kisabuni...
Thibitisha!Kukodi majeshi kutoka burundi jee wakilipwa kila 1 milioni kwa siku.,, na walikuwa wakiwaambia wananchi vituoni sisi tumeletwa kwa moja tu, ukikaidi tunakupiga risasi
Ninachokiongelea hapa ni uharibifu wa ushindi wetu na sio nani kapata kura ngapi,hizo za kura sisi wala hazitupi shida kwani ndio moja ya mikakati ,hatuna wakati na nani kapata before na after,hesabu zetu zilikuwa zipo fixed ,na tulivyopanga turuke na ushindi Bwana yesu asifiwe ushindi tumeruka nao ,mapema tu vyama vya vinayoota kama uyoga vikabwaga manyanga.Nikupe mfano wa kituo kimoja tu ambacho mgombea urais wa kwa tiket ya Chadema alipata kura 29 lakini chakushangaza matokeo yalipotoka kwenye jimbo walisema kapata kura 2., mifano iko hivyo kila mahali nchi nzima, ata kina Lipumba ameona hii hali ata ccm wenyewe mara kadhaa wanasikika wakisema "kwa ushindi kama huu hauna raha hata kidogo tunashindwa kufurahi kwa kilichofanyika"
Wanamaanisha kwamba ndugu zao wameuliwa kwa risasi na wengine kuteswa hadi sasa ndani lakini jengine baya zaidi matokeo ya uchaguzi ccm walipika kabla kwenye makaratasi yao ndio waliyokuwa wakitangaza hawakuchukua matokeo ya kura ata kituo kimoja.
Kuna nini huko?08:34
Monday, 23 November 2020 (GMT+1)
Time in The Hague, Netherlands
Unasema ?Kitu kinaitwa kupiga kura mwisho mwaka huu labda katiba ibadirike
Namshxangaa hata mleta maada kwa kusifia ushindi ulopatikana kibabe!!!!Utawala wa kishetani kabisa kuwahi kutokea