Habari za asubuhi wapendwa (Kwa wale ambao majira ya sasa ni asubuhi)
Habari za mchana na jioni au usiku (kwa wale wenye majira tofauti)
Natumain, mko salama salimini na mmeanza majukumu ya kazi baada ya weekend vurururu (aka Fiesta)
Sasa nianze mada husika. Hivi inakuaje unatongozwa na mtu, na anakwambia anataka kuwa na wewe, lakini pia anakueleza " . . .nina mke/girlfriend/bf/mume . . . ." halafu wewe unakubali kuwa nae kwasababu kuna kitu unataka kwake (may be kuburudika tu) halafu na wewe una mpenzi wako mwingine hutaki awe na muhusiano na mtu mwingine zaidi yako ???
haya ni maswala personal mwingine ni hulka yake tu hajatulia maana una mke/mpnzi yaani upo kwenye mahusiano unaanzisha mahusiano mengine ya nini? Hapo ni ujatulia tu una cha zaidi unachotaka.habari za asubuhi wapendwa (kwa wale ambao majira ya sasa ni asubuhi)
habari za mchana na jioni au usiku (kwa wale wenye majira tofauti)
natumain, mko salama salimini na mmeanza majukumu ya kazi baada ya weekend vurururu (aka fiesta)
sasa nianze mada husika. Hivi inakuaje unatongozwa na mtu, na anakwambia anataka kuwa na wewe, lakini pia anakueleza " . . .nina mke/girlfriend/bf/mume . . . ." halafu wewe unakubali kuwa nae kwasababu kuna kitu unataka kwake (may be kuburudika tu) halafu na wewe una mpenzi wako mwingine hutaki awe na muhusiano na mtu mwingine zaidi yako ???
no comments
<br /True 100%!!!!!!......human being is selfish in nature.
Hivi TANMO mfano mtu anakuja kuomba uhusiano na mtu mwingine halafu anasema kabisa kwamba yeye ni mume/mke wa mtu halafu mtu anakubali kuingia kwenye mahusiano na mtu wa namna hii sasa hapo kweli utasema kwamba huko ni kutokujitambua???Labda kutokujitambua nako kunachangia hii hali...!
Mi napita tu,nitarejea.
<br />Kotekote muhimu. kwa nini kungangania sehemu moja?. kwanza huduma nje ni bab kubwa kuliko hawa wa ndani walioridhika tu kuwa na wewe.
<br />Hivi inakuaje unatongozwa na mtu, na anakwambia anataka kuwa na wewe, lakini pia anakueleza " . . .nina mke/girlfriend/bf/mume . . . ." halafu wewe unakubali kuwa nae kwasababu kuna kitu unataka kwake (may be kuburudika tu) halafu na wewe una mpenzi wako mwingine hutaki awe na muhusiano na mtu mwingine zaidi yako ???