Kote kote . . . . . !!!

Zamani nilikuwa nikitongozwa na mke wa mtu nilikuwa nashangaa sana! Nimekuja kugundua ni vitu vya kawaida tu na maisha lazima yaendelee!

Mkuu wala huoni ajabu maana unaweza kushangaa umekaa sehem alone jamaa kakaa na mke wake ila yule mwanamke haachi kukuangalia wewe na mara atatumwa mhudumu akuletee no ya simu ya huyo mama unajiuliza amekosa nini kwa Mume wake
 
Ndio maswali ambayo wala hukutakiwa kujiuliza kwa kuwa hayakuhusu! Unatakiwa tu ujue kama uko tayari kumpa huduma anayoitaka au lah! Baasi!! Haya maisha ukiyaelewa ni rahisi sana, ila ukiendekeza kujiuliza maswali magumu magumu unaweza kupata kichaa!
 
Mkuu huduma tena hilo sio swali ni kama kuulizia makofi kituo cha polisi
Maisha ni namna utakavyoyafanya mkuu wala hayana formula na ukiyafanya magumu yatakuwa magumu nenda nayo the same yanavyotaka
 
Mkuu huduma tena hilo sio swali ni kama kuulizia makofi kituo cha polisi
Maisha ni namna utakavyoyafanya mkuu wala hayana formula na ukiyafanya magumu yatakuwa magumu nenda nayo the same yanavyotaka

Basi mtoa mada atakuwa amepata jibu la kwanini mtu aliye kwenye mahusiano anatongozwa anakubali wakati yeye asingependa mwenza wake awe na mahusiano mengine!
 
Basi mtoa mada atakuwa amepata jibu la kwanini mtu aliye kwenye mahusiano anatongozwa anakubali wakati yeye asingependa mwenza wake awe na mahusiano mengine!

Kabisa mkuu na unajua walio wengi wanawapenda sana wanaume waliooa au wanawake walioolewa maana wanajua kuwa hakutakuwa na usumbufu
 
theoretically cpu utaweza sema its wrong ila practically sisi ni wa binafsi unaweza kuta na mtu mnamatch ajabu unaamua tu kufaido nje roho inauma ila utamu umezidi conciosness ,only prayers zitakusaidia

Theoretically wrong, practically right, au sio?
Au ndo vile wanaita CHAKO CHANGU, CHANGU CHANGU?
Lakin mi naona ni kama ubinafsi-uzinzi
 
it depends to whom you are starting new relation, may be rich, so the aim will be money.
Also kutaka kuosha na unaemkubalia kuanzisha nae mahusiano, eg binti wa kawaida kabisa kutokewa na mbunge, msanii mkubwa etc

So sometimes its all about business aka utandawazi na soko huria?
 
haya ni maswala personal mwingine ni hulka yake tu hajatulia maana una mke/mpnzi yaani upo kwenye mahusiano unaanzisha mahusiano mengine ya nini? Hapo ni ujatulia tu una cha zaidi unachotaka.

Kuna jamaa mmoja aliwahi kuniambia kwamba, ukiwa bado una nguvu zako unatakiwa uponde raha zoooote ili ukija zeeka upate story za kusimulia wajukuu, sasa sijui ndo staili hii?
 
...lol...mkuu CPU, hiyo inaitwa Multitasking na ku Reboot Server!
 
Kuna jamaa mmoja aliwahi kuniambia kwamba, ukiwa bado una nguvu zako unatakiwa uponde raha zoooote ili ukija zeeka upate story za kusimulia wajukuu, sasa sijui ndo staili hii?
ushamba tu ndo maana ukimwi hauishi cha zaidi uko nje unafata nini?
 
yani hii heading ilivyokaa utaishia kupata view kama elfu 3 na 58 ivi..na posts chachee hahahaaaaaaaa
 
Binadamu tumeumbwa na u selfishness <br />
<br />
 
mi mwenyewe huwa najiuliza hiv inakuwaje mtu anakubali hial anajua hilo?
 
may be matamanio tu! Na wengine tabia zao tu hawajatulia
 
What's love -by the way?
Attraction
affection
kindness
honest
what?
All of the above?
Najaribu kufikri justification ya kumzuia mtu kupenda au kupendwa na wengi.
I think it depends hw one is taking it is believing it smthn to do with personal moral.

U du wht u blv in.
Do not do wht u dont blv in.

Ni mtazamo wangu huru kabisa,

Hivi TANMO mfano mtu anakuja kuomba uhusiano na mtu mwingine halafu anasema kabisa kwamba yeye ni mume/mke wa mtu halafu mtu anakubali kuingia kwenye mahusiano na mtu wa namna hii sasa hapo kweli utasema kwamba huko ni kutokujitambua???
<br />
<br />
 
kwa kweli hili jambo haliwezi kuelezwa kwa mtazamo mmoja, kuna mambo mengi sana yanayopelekea hali hii kutokea, ya hitaji muda wa kueleza, tena ni darasa haswa...!

LAKINI YOTE KWA YOTE NI MAMBO YA LOVE................!!!!!!!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…