Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hhahaaaahaaa MSHAHARAA AWAJATOA NN OFISINI NAONA FAINI KIBAOOHii ndio kazi wanaiweza TFF na kamati zake.
Kufungia fungia tu hakuna kingine wanaweza.
Mpaka sasa ni siku ya 5 hajapatikana na mwisho wa mwezi huoHuyo wa yanga atalipa nini hela hana au watatoa kwenye chubuku
Jiulize na wa simba naye atalipa nini? Au bosi kaonekanaHuyo wa yanga atalipa nini hela hana au watatoa kwenye chubuku
Pesa za uwekezaji wake zipo simva tayari na mikataba ipo familia itasimamia likitokea baya tusilolitakaJiulize na wa simba naye atalipa nini? Au bosi kaonekana
Mo investment yake ipo simba pesa zipo simba hatoi pesa Mo mfukoni ili alipe wachezajiMpaka sasa ni siku ya 5 hajapatikana na mwisho wa mwezi huo