Kotmir ni nini kwa Kiingereza?

mjasiria

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2011
Posts
4,156
Reaction score
1,862
Tafadhali msaada wako unahitajika ewe msomaji.
 
Kotmir ni majani flani yanatumika kama spice katika chakula yanaweza kuwa makavu au mabichi,kimuonekano yanafanana na parsley....


Kotmir pia zipo mbegu zake......kwa kiswahili chengine hufahamika kama giligilani

Kotmir kwa kiengereza ni coriander
 
Kotmir ni majani flani yanatumika kama spicr katika chakula yanaweza kuwa makavu au mabichi,kimuonekano yanafanana na parsley....


Kotmir pia zipo mbegu zake......kwa kiswahili chengine hufahamika kama giligilani

Kotmir kwa kiengereza ni coriander
Asante my dada...Kuna tofauti gani kati ya coriander na cilantro?
 

Mara ya Mwisho kula kotmir mwaka 1993 ni nzuri sana zina harufu nzuri vile vimajani,thanks kwa kudadavua.
 
Kotmiri kwa kiingereza ni cilantro
 
Basi mie najua giligiliani nilikuwa sijui kama yaitwa kotmir
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…