Saddie Omary
Member
- Jan 27, 2023
- 21
- 17
Wakuu kwema, Mimi ni muhitimu wa Diploma ya uhandisi madini (Mining Engineering) kutoka university of dodoma. Natamani kubadili upepo na kuongeza wigo mpana wa ujuzi kwa levo ya degree dirisha la mwaka huu likifunguliwa Inshaallah, katika moja kati ya kozi kama civil eng, Quantity survey na Geomatics. Ila sijajua kozi ipi ni nzuri na inaendana na soko la sasa especially kwenye michongo, Natamani kupata details kwa wanaofaham kuhusiana na kozi hizo.