Saddie Omary
Member
- Jan 27, 2023
- 21
- 17
AhaaNenda geomatics ina options nyingi za kupata kazi unlike hizo nyingine eg unaweza kuwa surveyor wa halmashauri, mashirika ya umma kama Tanesco na agency za maji, kampuni za upimaji ardhi, kampuni za ujenzi barabara, migodi/ vitalu ya madini na gesi,tafiti za baharini, pia miradi yote ya kimkakati uwa inachukua surveyor wa kutosha either temporarily au permanent mfano ni mradi wa bomba la mafuta tz na uganda, Sgr na project ya nyerere hydro
Ukikosa kabisa ukiwa kitaani haukosi mtu mmoja mmoja au taasisi zinazotaka kupimiwa ardhi zao either kwa ajili ya kupata hati na kukopa au taasisi kulinda miliki ya ardhi
Nakushauri pia kama utaweza soma geomatics ya ardhi university ya miaka 4.
Ahaaa sawasawa mkuu shukran sanaAs a quantity surveyor, nakushauri usome geomatics. Iko na uhusiano mzuri zaidi na mining engineering.
Kuhusu kupata michongo, hilo linategemea connections ulizonazo!
Nimekuelewa vizuri mkuu, pia kuna tofauti gani kati ya Geomatics na geoinformatics? Ipi ni competent than other? Mtu wa geoinformatics anaweza kufanya kazi za geomatics and vice versa?Nenda geomatics ina options nyingi za kupata kazi unlike hizo nyingine eg unaweza kuwa surveyor wa halmashauri, mashirika ya umma kama Tanesco na agency za maji, kampuni za upimaji ardhi, kampuni za ujenzi barabara, migodi/ vitalu ya madini na gesi,tafiti za baharini, pia miradi yote ya kimkakati uwa inachukua surveyor wa kutosha either temporarily au permanent mfano ni mradi wa bomba la mafuta tz na uganda, Sgr na project ya nyerere hydro
Ukikosa kabisa ukiwa kitaani haukosi mtu mmoja mmoja au taasisi zinazotaka kupimiwa ardhi zao either kwa ajili ya kupata hati na kukopa au taasisi kulinda miliki ya ardhi
Nakushauri pia kama utaweza soma geomatics ya ardhi university ya miaka 4.
Geomatics ndio ipo competent ,geoinformatics unasoma baadhi ya vitu ambavyo geomatics anasoma ,hata kwenye ajira ni hivyo hivyo kuna baadhi ya ajira geoinformatics hawaingiiNimekuelewa vizuri mkuu, pia kuna tofauti gani kati ya Geomatics na geoinformatics? Ipi ni competent than other? Mtu wa geoinformatics anaweza kufanya kazi za geomatics and vice versa?
Umeeleweka vizuri sana brother,shukran kwa muongozoGeomatics ndio ipo competent ,geoinformatics unasoma baadhi ya vitu ambavyo geomatics anasoma ,hata kwenye ajira ni hivyo hivyo kuna baadhi ya ajira geoinformatics hawaingii
Una GPA ya ngapUmeeleweka vizuri sana brother,shukran kwa muongozo
3.5 kakaaaUna GPA ya ngap
Nenda kasome kozi yeyote kati hizi kama wewe ni mtoto wa mkulima.Wakuu kwema, Mimi ni muhitimu wa Diploma ya uhandisi madini (Mining Engineering) kutoka university of dodoma. Natamani kubadili upepo na kuongeza wigo mpana wa ujuzi kwa levo ya degree dirisha la mwaka huu likifunguliwa Inshaallah, katika moja kati ya kozi kama civil eng, Quantity survey na Geomatics. Ila sijajua kozi ipi ni nzuri na inaendana na soko la sasa especially kwenye michongo, Natamani kupata details kwa wanaofaham kuhusiana na kozi hizo.
Kuja jamaa kapiga hiyo Geomatics yuko njema kwa kiasi maana kashajenga kwa kupiga hizo mishe, kiufupi hajasota kitaa kama wengine hasa ukilinganisha na awamu ya Magu ilivyovuruga soko la ajiraNenda geomatics ina options nyingi za kupata kazi unlike hizo nyingine eg unaweza kuwa surveyor wa halmashauri, mashirika ya umma kama Tanesco na agency za maji, kampuni za upimaji ardhi, kampuni za ujenzi barabara, migodi/ vitalu ya madini na gesi,tafiti za baharini, pia miradi yote ya kimkakati uwa inachukua surveyor wa kutosha either temporarily au permanent mfano ni mradi wa bomba la mafuta tz na uganda, Sgr na project ya nyerere hydro
Ukikosa kabisa ukiwa kitaani haukosi mtu mmoja mmoja au taasisi zinazotaka kupimiwa ardhi zao either kwa ajili ya kupata hati na kukopa au taasisi kulinda miliki ya ardhi
Nakushauri pia kama utaweza soma geomatics ya ardhi university ya miaka 4.
Soma civil ila Sasa mko wengi sana but ningekuwa Mimi ningesoma geomaticsWakuu kwema, Mimi ni muhitimu wa Diploma ya uhandisi madini (Mining Engineering) kutoka university of dodoma. Natamani kubadili upepo na kuongeza wigo mpana wa ujuzi kwa levo ya degree dirisha la mwaka huu likifunguliwa Inshaallah, katika moja kati ya kozi kama civil eng, Quantity survey na Geomatics. Ila sijajua kozi ipi ni nzuri na inaendana na soko la sasa especially kwenye michongo, Natamani kupata details kwa wanaofaham kuhusiana na kozi hizo.
Kwanini hizo mkuu? Kuna lolote nyuma ya paziaNenda kasome kozi yeyote kati hizi kama wewe ni mtoto wa mkulima.
1. Civil
2. Electrical
3. Mechanical
Why Geomatics brother?Soma civil ila Sasa mko wengi sana but ningekuwa Mimi ningesoma geomatics
Geomatics ya ardhi inatofauti gani na ile ya udsm?Soma Geomatics and target usome Ardhi University hutajutia
Wide range of fursaWhy Geomatics brother?