Liz Danger
New Member
- Jul 24, 2024
- 4
- 11
Kwanza kabla hujachagua kozi interest yako ni nini?Wakuu pole na majukumu.
Mimi nimehitimu kidato cha sita mwaka huu natarajia kujiunga na chuo mwezi wa kumi. Naomba natamani kujua kozi gani ni nzuri na yenye nafasi kubwa ya kujiajiri nikimaliza masomo yangu.
Kozi hizo ni kozi ya IT na kozi ya ICT
Naomba ushauri wenu wanaJF
ASANTE
Mimi napendelea kusoma maswala ya Information technology na Networks sasa nashindwa kuelewa nichukue kozi gani maana baadhi ya watu wananambia IT na ICT zote ni sawa tu lakin naona kuna baadhi ya vyuo wanazitenganisha hizi kozi pia nikijalibu kuangalia ada ya kusoma ICT Mfano chuo cha MUST ni nafuu kuliko ada ya kusoma IT pale IAA ArushaKwanza kabla hujachagua kozi interest yako ni nini?
mkuu kama una faham chochote labda kuhusu kazi zinazofanywa na mtu wa IT na mtu wa ICT naomba unijuze plzZote nzuri chagua moja unayoipenda na ambayo utaimudu kwa sasa, kwani uchaguzi wa kozi unategemea mtu anataka nini, pia fuatilia juu ya kazi zinazofanywa na mhitimu wa kozi husika kisha uchague itayokufaa kwani hamna kozi bora bali kila kozi ni bora katika condition mbalimbali
mkuu kama una faham chochote labda kuhusu kazi zinazofanywa na mtu wa IT na mtu wa ICT naomba unijuze plz
kuna uzi umeelezea kwa kina ila nimeshindwa kuupatamkuu kama una faham chochote labda kuhusu kazi zinazofanywa na mtu wa IT na mtu wa ICT naomba unijuze plz
Soma IT ndo baba lao ICT unaikuta uko uko ndani Ya IT SEMA jiandae na maesabuWakuu pole na majukumu.
Mimi nimehitimu kidato cha sita mwaka huu natarajia kujiunga na chuo mwezi wa kumi. Naomba natamani kujua kozi gani ni nzuri na yenye nafasi kubwa ya kujiajiri nikimaliza masomo yangu.
Kozi hizo ni kozi ya IT na kozi ya ICT
Naomba ushauri wenu wanaJF
ASANTE
Saw mkuu Asante kwa ushauri ,,,but vp mtu wa ICT kuna baadhi ya vitu vya IT hafundishwi au,, maaana sielewi apoSoma IT ndo baba lao ICT unaikuta uko uko ndani Ya IT SEMA jiandae na maesabu