open university si mambo ya distance learning...Naombeni msaada wa kujua ni kozi gani ambayo sio ngumu kuisoma ukizingatia mazingira kama ya OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA?
TAYARI NIMESHA OMBA KUSOMA BACHELOR OF ARTS(PUBLIC RELATIONS AND ADVERTISING)
NAOMBA KATIKA MSAADA WENU UZINGATIE UPATIKANAJI WA:
1.WAALIMU/LECTURERS
2.VITABU
3.VIFAA VYOTE MUHIMU VYA KUWEZESHA KUSOMA,KUELEWA NA KUFANYA KAZI VIZURI IKIWA NI PAMOJA NA KUFAULU KWA KIWANGO KIZURI KUTOKANA NA KUELEWA MAMBO NA SIO KUKARIRI
NASHUKURU KWA MSAADA WENU
naombeni msaada wa kujua ni kozi gani ambayo sio ngumu kuisoma ukizingatia mazingira kama ya open university of tanzania?
tayari nimesha omba kusoma bachelor of arts(public relations and advertising)
naomba katika msaada wenu uzingatie upatikanaji wa:
1.waalimu/lecturers
2.vitabu
3.vifaa vyote muhimu vya kuwezesha kusoma,kuelewa na kufanya kazi vizuri ikiwa ni pamoja na kufaulu kwa kiwango kizuri kutokana na kuelewa mambo na sio kukariri
nashukuru kwa msaada wenu
kwanza inategemea uko wapi rafiki yangu. Kama uko upcountry utakuwa na kazi sana hata kama uchague kozi gani. further more inatakiwa juhudi binafsi na gharama za ziada kujinunulia vitabu, access ya internet nk. Kama uko dar es salaam walimu na libraries zipo ni hela yako ila ukiwategemea open university alone itakula kwako. Mimi ilinitesa sana niliokuwa mikoani.