Kozi gani ukisoma ajira zake zipo wazi?

clarinto

Member
Joined
Aug 19, 2014
Posts
44
Reaction score
8
Kwa wale wanyeuelewa zaid upande wa ajira ni kozi gani nkichuku inaweza ikawa na uwepesi upande wa ajira!?
 
clarinto
hujajieleza umesoma mchepuo gani, ufaulu wako kwa ujumla, umemaliza kidato cha ngapi? dah, pole sana kwani hauta pata jibu la swlali lako. Sababu hujui kujieleza!!!!!
 
Last edited by a moderator:
funguka vizuri kijana.....as mchepuo ndo hu determine kozi unazoweza soma!!! unaeza ukawa umesoma HKL then tukwambie MD ni uongo"!!!!! pia ufaulu as sio wote walosoma PCB ,CBG wanaeza kuwa ma daktari !!!
 
Kapige diploma ya radiography muhas,,,kitaaa utakua keki,,ajira za kutosha,,part time mpaka unazikataa...pesa nje nje!!!!! Watu wachache saaana afu cha mwisho lazma ukae sehem yenye umeme!!!!
 
Kwa wale wanyeuelewa zaid upande wa ajira ni kozi gani nkichuku inaweza ikawa na uwepesi upande wa ajira!?

public administration, human resource, accounts, law lazima utoke tu mkuu imo ukisoma ata kama ujui kujielezea ili utatue matatizo yako utajua tuu
 
Kapige diploma ya radiography muhas,,,kitaaa utakua keki,,ajira za kutosha,,part time mpaka unazikataa...pesa nje nje!!!!! Watu wachache saaana afu cha mwisho lazma ukae sehem yenye umeme!!!!

Wewe bado mwanafunzi mmeshadanganyana huko!eti pesa nje nje duh,
 
Koz Za Afya Zinaongoza, Za Engineèring Zinafata Na Ualimu . But Za Afya Ndo Mpango Xana .Piga Diploma Ya Optometry Pale Kcmc Uone Jins Lilivyotamu. Coz Iyo Wanatoa Kcmc 2 Tz Nzima. Xo Watakugombania Wala Hutaangaika Na Kuomba Omba Kaz. Miaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…