Kozi gani ya uchumi itanifaa nna div 3 ya 13

Kozi gani ya uchumi itanifaa nna div 3 ya 13

Mbrazili

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
649
Reaction score
90
Habari zenu wana jf.......wakuu naomba mnipe mwongozo wa kile ambacho ntaenda kusomea chuoni....nna div 3 ya 13 yenye ECONOMICS-D
GEOGRAPHY-D
HISTORY-E
Pia nina F ya gs ingawa naona haitokuwa kikwazo kwani nusu yetu tumepata iyo........sasa nisaidieni faculty nzuri na ambazo marketable kwenye soko la ajira.
Pia je kwa iyo div 3 naweza kupata nafasi UDSM ukizingatia mwaka huu kuna one 325 tu Tanzania nzima?????
Nawasilisha hoja wadau
 
Jaribu tu bahati yako,unaweza kupata.bt nakutahadharisha,economics ni ngumu sana, kwa hapa udsm ndo kozi ya pili inayoongoza kwa watu kudisco baada ya civil engineering.so kama unaamua kuichagua inabidi ujipange mapema otherwise wakina Dr Nyoni,Dr Karamagi na prof Osoro watakula kichwa chako mapema.
 
Jaribu kuomba Bachelor ya Public health managements system Mzumbe ipo kwenye market kiaina!
 
Jaribu tu bahati yako,unaweza kupata.bt nakutahadharisha,economics ni ngumu sana, kwa hapa udsm ndo kozi ya pili inayoongoza kwa watu kudisco baada ya civil engineering.so kama unaamua kuichagua inabidi ujipange mapema otherwise wakina Dr Nyoni,Dr Karamagi na prof Osoro watakula kichwa chako mapema.

Duuuuuuh!!!!! Unantisha mkuu.....
 
Back
Top Bottom