Jaribu tu bahati yako,unaweza kupata.bt nakutahadharisha,economics ni ngumu sana, kwa hapa udsm ndo kozi ya pili inayoongoza kwa watu kudisco baada ya civil engineering.so kama unaamua kuichagua inabidi ujipange mapema otherwise wakina Dr Nyoni,Dr Karamagi na prof Osoro watakula kichwa chako mapema.