1.GEOLOGY AND MINERAL EXPLORATION 2.MINING ENGINEERING 3. PETROLEUM GEOSCIENCES
Hizo programs zote ni nzuri ila Geology and mineral expl ni nzuri maake hata kwenye petrolium industry unaweza kupata kazi ikifatiwa na mining. Ila Petrolum ni hot cake kwa sasa ila uwezekano wakazi ni issue