Kozi kwa waandishi wa Habari

Kagosaki

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2010
Posts
208
Reaction score
56
Iwapo wewe ni Mwandishi wa Habari mwenye uzoefu wa Miaka 2 au 3, kuna kozi fupi hapa ambayo utasoma bure!

Kozi hii itakupa uwezo mkubwa jinsi ya kuandika masuala ya urahisi wa kufanya biashara. Kozi hii inaendeshwa na Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino Mwanza na kufadhiliwa na BEST-AC na ANSAF.

Download the advert and apply now, or follow the link below;

Media | BEST-AC
 

Attachments

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…