Kozi na chuo kizuri kusoma digrii

Kozi na chuo kizuri kusoma digrii

khmbrzy

Member
Joined
Sep 8, 2021
Posts
8
Reaction score
5
Habari wakuu
Natanguliza shukurani
Mimi ni muhitimu wa Diploma in Insurance and Risk Management, but nataka niende degree this year, ila nahitaji kubadilisha course ambayo iko marketable, naombeni ushauri nisome course gani wakuu na chuo gani. 🤔
 
Yaani atoke mambo ya Insurance akahamie afya?? Mbona kama unampoteza huyu mtu
Najua mtu amabaye alisoma degree ya ualimu akamaliza 2017 akakaa mtaani hapasomeki 2019 akaenda diploma ya radiology mwaka huu yupo mwanza anapiga kazi hospital ya wilaya.

Kama course uliyosoma imwkukalisha mtaani bila kukupa return ya maana kuw tayari ku switch
 
Najua mtu amabaye alisoma degree ya ualimu akamaliza 2017 akakaa mtaani hapasomeki 2029 akaenda diploma ya radiology mwaka huu yupo mwanza anapiga kazi hospital ya wilaya.

Mimi mkuu ni degree holder wa
BA but nimeswitch kwenye udereva
 
Najua mtu amabaye alisoma degree ya ualimu akamaliza 2017 akakaa mtaani hapasomeki 2029 akaenda diploma ya radiology mwaka huu yupo mwanza anapiga kazi hospital ya wilaya.

Kama course uliyosoma imwkukalisha mtaani bila kukupa return ya maana kuw tayari ku switch
Ila hiyo aliyosoma kwa sasa ni Insurance na mimi nina mifano mingi ya kwamba hiyo course ni nzuri, kwa fursa za ajira
 
Ni kweli kabisa, japokua ajira zake sio zile zinazokuja kila siku, lakini zinapatikana na zinalipa.

Kwa ushauri kama anataka kubadili kitu cha kusoma basi akasome Data Science pale chuo cha Takwimu, atakua na uwanja mpana zaidi kwenye hilo eneo lake.
 
Habari wakuu
Natanguliza shukurani
Mimi ni muhitimu wa Diploma in Insurance and Risk Management, but nataka niende degree this year, ila nahitaji kubadilisha course ambayo iko marketable, naombeni ushauri nisome course gani wakuu na chuo gani. 🤔
BBA - Accounting and Finance /Procurement ukimaliza soma CPA (T) utakuja kunishukuru miaka ijayo.
 
Back
Top Bottom