Na hasa ukizingatia katika wanachuo kumi wanaohitimu ni wawili tu wanaajiriwa basi ni dhahiri wengi yafaa waandaliwe na mwalimu makini kwenye suala la ujasiriamali.
Kwenye kozi kibao vyuoni za sheria, uhasibu, IT, uongozi, engineering, afya, n.k. huwa kuna somo la ujasiriamali / entrepreneurship.
Walimu hawa wamekuwa wakiajiriwa kwa kigezo pekee cha kuwa na GPA ya kuanzia 3.5
Mwalimu unamkuta hana hata kioski anategemea mshahara kwa asilimia 100, yaani kasimamia mguu mmoja ikitokea kacheleweshewa mshahara anayumba ama kuanguka kabisa.
Anafundisha biashara yeye hana hata kioski, anafundisha vibali yeye hana hata Tin Namba, anafundisha kufungua biashara yeye haijui ofisi ya TRA, n.k.
Ushauri wangu ni kwamba kuna vijana wengi tu mtaani wenye degree zao wameweza kufungua biashara, hao ndio watumike.