Little brain
JF-Expert Member
- Oct 31, 2020
- 4,282
- 6,303
Asante.ICT inamtosha mana inaonekana ametaget ajira sanaaa. Ila akumbuke kusoma na kuajiriwa ni, vitu viwili tofauti
Jibu kama ulivyo elewa..Kozi au Program??
IT haitegemei ufaulu wake?Akasome IT
4 ya 30Kwan ana ufaulu gan
habari..
Wadau kuna dogo amemaliza form 4 anadai anataka kusomea kompyuta.je ni kozi gani nzuri(inayoenda na upepo wa ajira kwa sasa)
asanteni..
Akajifunze tu basics za computer..na graphics kidogo,na utundu utundu mwingine mtafutueni pesa afungue kastationary kake aanze kazi...4 ya 30
Asante mkuu!Akajifunze tu basics za computer..na graphics kidogo,na utundu utundu mwingine mtafutueni pesa afungue kastationary kake aanze kazi...
Dah haiwezekan4 ya 30
Kompu YutaJibu kama ulivyo elewa..
Kujifanya mjanja kwenye wajanja wengi ni ujinga.Kompu Yuta
Nashukuru.Ajifunze
Microsoft word, excel, publisher
Photoshop
Akae au muweke kwa mtu anaetumia sana computer aongeze utundu
Then mfungulie stationary.
Tuanze na hatua hiyo kwanza