Kozi ya Abstract algebra inafaida gani ?

JPM605

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2012
Posts
216
Reaction score
122
Wakuu kuna kozi za hesabu hazina manufaa kabisa. Mfano abstract algebra yaani ni kutesana bila kuleta mafanikio.

Mlioisoma popote pale tubadilishane uzoefu maana mi ningekuwa senete ya chuo ningeiweka iwe optional kwa wanaoitaka.
 
Siku moja kwenye lecture nilimuuliza dk Kakiko pale udsm faida ya kusoma hiyo course alisema ina umuhimu wakati ukitaka kusoma masters ya mathematics.
 
ktk maisha ya chuo kozi ninazoziheshimuni topology na abstract algebra
 
ktk maisha ya chuo kozi ninazoziheshimuni topology na abstract algebra

Ukiwa Tanzania course yoyote ya hesabu haina manufaa, maana inachukulika kila anayesoma hesabu anapaswa kuwa mwalimu. Lakini kwa nchi za wenzetu, course zote za pure mathematics zina manufaa. Mleta uzi, ili ujue manufaa ya abstract algebra,

jaribu kuifanyia project kama katika shahada yako kuna project, ndipo utapata mwanga wa matumizi ya abstract algebra. Nazipenda sana course za pure mathematics kama hiyo abstract, topolgy and measure theory.
 
Just Google "What are some real-life applications of abstract algebra?"

Au soma hapa:


Hakuna course isiyokuwa na manufaa.
 
Abstact algebra ina matumizi makubwa sana kwa nchi zilizo endelea katika maswala ya TEHAMA maana katika information security lazima abstract uijue ila kibongo it is useless
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…