ngotho
Senior Member
- Jun 18, 2021
- 142
- 111
Wakuu wangu natanguliza salaamu zangu za dhati na shukurani nikiamini mpo wazima.
Wakuu kwa heshima yenu ningependa kujua kutoka kwenu eti aliyesoma Combination ya EGM anaweza kusomea cozi ya architecture?? Nasikia eti hii kozi ni nzuri lakini kiundani zaidi sijajua inakuwaje.
Naombeni msaada wenu maana nimesoma combination ya EGM na naipenda sana kutokana na ninavyoambiwa. Naombeni msaada na ushauri zaidi..
Asanteni.