Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukran brooHizi kozi ndo mara nyingi wanakuwa Mabwana/Mabibi Afya siku hizi wanapenda kuitwa Afisa Afya.
Mara nyingi wanakuwa maafisa afya wa miji, halmashaur, Vijiji!
Na pia naona wanaajiriwa sana mipakani kuhakikisha hamna ugonjwa unaingia kwenye kukagua bidhaa zinazoingia na kutoka mipakan, na kipind hichi cha korona wanaajiriwa pia uwanja wa ndege kwenye kupima joto, na bila shaka hata kiwandan vikubwa kuna afisa afya kama sijakosea, na bandarin na maeneo kama hayo!
Ajira ni taiti kote kote sijajua kwa Afisa Afya unajiajiri vp pindi mtu anapokosa ajira!