Kozi ya bachelor of science in environmental health

Donbily

New Member
Joined
Sep 18, 2021
Posts
2
Reaction score
1
Wadau naomb kujua iyo kozi field zake na ajira zake
 
Hizi kozi ndo mara nyingi wanakuwa Mabwana/Mabibi Afya siku hizi wanapenda kuitwa Afisa Afya.
Mara nyingi wanakuwa maafisa afya wa miji, halmashaur, Vijiji!
Na pia naona wanaajiriwa sana mipakani kuhakikisha hamna ugonjwa unaingia kwenye kukagua bidhaa zinazoingia na kutoka mipakan, na kipind hichi cha korona wanaajiriwa pia uwanja wa ndege kwenye kupima joto, na bila shaka hata kiwandan vikubwa kuna afisa afya kama sijakosea, na bandarin na maeneo kama hayo!
Ajira ni taiti kote kote sijajua kwa Afisa Afya unajiajiri vp pindi mtu anapokosa ajira!
 
Shukran broo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…