Kozi ya freight clearing and forwading ajira zake zikoje?

Kozi ya freight clearing and forwading ajira zake zikoje?

makua

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2013
Posts
208
Reaction score
39
Habari JamiiForums,
Naomba mnijuze, kwa anayejua course ya Clearing and Freight Forwading ipo kwenye soko? Means ajira zake zikoje?

Nawasilisha
 
Una mjomba au mpwa yeyote bandarin mkuu? Kama unaye go go....
 
Nimesema sio kuuliza makampuni mengi hayana uwezo wa kuajiri na kulipa vizuri.

Sawa mkuu.
Lakini nahic hili ni tatizo mama katika Tanzania yetu.
 
Back
Top Bottom