Kozi ya Health Information System

CompaQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2012
Posts
281
Reaction score
134
Habarini
Wakuu nilikuwa naomba kuuliza kwenye kujua kozi tajwa hapo juu inayotolewa UDOM zaidi inahusika na nini na mtu anaehitimu hapo anaenda kuwa nani huko kazini?

Pia vipi kuhusu ajira zake, wenye uelewa juu ya hili swala basi aweze kutujuza wapendwa katika elimu shukrani.....!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…