Tena kuna baadhi ya hizo profesional unaweza pata vyeti vinavyotambuliwa dunia nzima just kwa kufanya mtihani baada ya kulipia.mfano kuwa Blackbery certified specialist ambao Voda,tigo,zantel nk awatoshi na wanatakiwa kila kukicha ni kama dola 300.kituo cha mtihani kipo pale starnlight ktk jengo la technobrain na notes zote zipo free kwenye internet.mwaka juzi mtu wa blackbery Voda alikuwa alipwa kama 1m kwa mwezi,na anapata free blackery Bis connected, airtime,data bundle,laptop na vitendea kazi bure. So C programa pambana.tanzani kwa It demand ni kubwa sana tena sana.