Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,217
- 3,694
mkuu usihofu,wengi wenu mnakuwa hamuivi,sijui kwa nini.Practicals zero kabisa!Jamani tunaosoma hii kozi ya it.......tanzania tumekuwa wengi sana......vyuo kibao vinatoa kozi za it.....na wanafunzi kibao wanasoma it.....sijui baada ya miaka mitano ijayo ajira.......sijui zitakuwajeee
Fear for unknown!We tatizo lako hasa ni nini? Kwa hiyo hautaki watu wasome IT kisa isije kuwa yeboyebo!! Ok toa ushauri sasa watu wasome kozi gani ili muachiwe hy IT wenyewe..
We tatizo lako hasa ni nini? Kwa hiyo hautaki watu wasome IT kisa isije kuwa yeboyebo!! Ok toa ushauri sasa watu wasome kozi gani ili muachiwe hy IT wenyewe..
Jamani tunaosoma hii kozi ya it.......tanzania tumekuwa wengi sana......vyuo kibao vinatoa kozi za it.....na wanafunzi kibao wanasoma it.....sijui baada ya miaka mitano ijayo ajira.......sijui zitakuwajeee

Ndio umejua kuinstall Antivirus leo? ?????
Jamani tunaosoma hii kozi ya it.......tanzania tumekuwa wengi sana......vyuo kibao vinatoa kozi za it.....na wanafunzi kibao wanasoma it.....sijui baada ya miaka mitano ijayo ajira.......sijui zitakuwajeee
IT bongo bado mno, hasa Programming ni ZER0%, mmejaziwa vyuo feki na Wahindi basi ndio mnajiona mnajua IT.
Holy...........ngoja niishie hapa tu.Watu mnagegenralise sana mambo. Watu wanasoma engineering so called origanal ya UDSM wanasimamia jengo na linaporomoka sasa ndiyo unashangaa Kusoma programming kwa wahindi......
Eti Programming. Programmin ndio nini kwenye IT? Kama anajiona anajua muache ajione anajua hata kama kasomea kwa kemcho bahi otherwise kama unajua zaidi yake mchalallenge......