Watu mnagegenralise sana mambo. Watu wanasoma engineering so called origanal ya UDSM wanasimamia jengo na linaporomoka sasa ndiyo unashangaa Kusoma programming kwa wahindi......
Eti Programming. Programmin ndio nini kwenye IT? Kama anajiona anajua muache ajione anajua hata kama kasomea kwa kemcho bahi otherwise kama unajua zaidi yake mchalallenge......
salute kijana, ushauri mzuri sanaMnasoma wengi wanaoelewa ni wachache.amtaki jituma, enzi zetu tumesoma kwa shida,intenet ilikuwa ni dial up 56kbs ,nyinyi mna kila kitu ila mnacheza na fesi book deile,.. Komaa jifunze kuprogram control box za magari ,jifunze kuprogram dish receiver upate chanel bomba unauza,jifunze kuripea system za viwandani na Plc kazi zipo za kumwaga,jifunze kuwa bingwa wa ipad,ipod,iphone ,blackbery utakimbia kazi haya yote unaweza jifunza 100% kwa net for free. Wenzako tunakimbia kazi.changamka usilale kijana ukatafuta mchawi
Ukweli ni kwamba huko tuendako huwezi kuajiriwa kwakuwa tu eti wewe ni
mhitimu wa IT...haitoshi lazima uwe na ujuzi mwingine utakaokupa ajira...
IT ni kama kujua kusoma na kuandika, inatarajiwa kila mtu ajue matumizi yake