Kozi ya Kichina cha kuongea na kuandika.

Kozi ya Kichina cha kuongea na kuandika.

Radio Producer

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2011
Posts
726
Reaction score
320
Wasalaamu,
Naomba kujuzwa wanaJF, ni wapi wanafundisha kozi ya kuongea na kuandika lugha ya kichina??
1. Iwe Dodoma,
2. Iwe kozi ya jioni
3. Ada iwekwe wazi
Mtu binafsi wa kufundisha anaruhusiwa
Asanteni
 
Back
Top Bottom