Serikali inaposema kujiajiri haimaanishi kupitia hizo kozi wanazosomea wanafunzi
Kila kitu atakachokifikiria kinaweza kuwa ajira kwake lakini kozi anayosomea ni kama inampa namna bora ya kujisimamia yeye kama yeye.
Aende kozi yoyote anayowezana nayo,akitoka hapo akianziasha wazo la ishu yoyote ya kufanya inakuwa ndyo kujiajiri kwenyewe huko.