Habari za muda huu Wakuu? Msaada kwenye tuta nina rafiki yangu kwa sasa yupo South Africa 🇿🇦 sasa Visa/Passport aloingia nayo kule inabidi asome course ya OCCUPATION AND HEALTH SAFETY haiwezekani kubadilisha sasa je course hii akirudi hapa Bongo anaweza kufanya kazi gani? Na issues za kuajiriwa kwake zikoje? Yaana anaweza kuajiriwa katika taasisi zipi?? Natanguliza shukrani zangu wakuu.