Kozi ya 'Occupation and health safety', akimaliza anaweza kufanya kazi gani?

Shimaje

Member
Joined
Apr 12, 2018
Posts
86
Reaction score
47
Habari za muda huu Wakuu? Msaada kwenye tuta nina rafiki yangu kwa sasa yupo South Africa ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ sasa Visa/Passport aloingia nayo kule inabidi asome course ya OCCUPATION AND HEALTH SAFETY haiwezekani kubadilisha sasa je course hii akirudi hapa Bongo anaweza kufanya kazi gani? Na issues za kuajiriwa kwake zikoje? Yaana anaweza kuajiriwa katika taasisi zipi?? Natanguliza shukrani zangu wakuu.

 
Anaweza kuwa safety officer au inspector kwenye makampuni au taasisi mbali mbali za serikali kama Tanesco, bandari, airport, OSHA as HSE inspector, 5* hotels, viwanda vikubwa, nk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ