Northodorx
Member
- Jun 20, 2019
- 5
- 0
1. Mechanical (kwa sababu una nackground yake tayari)Habari, wakubwa naomba ushauri wa kozi ipi nikasome, hapa nimemalza Diploma ya Mechatronics engineering.
Naombeni ushauri wa kozi nzuri ya kusoma level ya degree
Nenda civil engineering hutojutiaHabari, wakubwa naomba ushauri wa kozi ipi nikasome, hapa nimemalza Diploma ya Mechatronics engineering.
Naombeni ushauri wa kozi nzuri ya kusoma level ya degree
Na ndio maan akaomba ushauri,msaidie mkuuHadi umemaliza diploma hujajua unataka kusoma nini degree?
Ndo maana kuna kitu kinaitwa ushauri,wewe kama umeona huna jibu siyo necessary ukajibu utumbo mkuu.Hadi umemaliza diploma hujajua unataka kusoma nini degree?