Kozi ya ukocha wa mpira wa mguu

Kozi ya ukocha wa mpira wa mguu

Gor

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
2,791
Reaction score
850
Napenda kujifunza ukoja wa futiboli, wapi naweza kupata kozi hiyo hapa nchini?
 
Napenda kujifunza ukoja wa futiboli, wapi naweza kupata kozi hiyo hapa nchini?

Gor unaishi mkoa gani?mwone kiongozi wa chama cha mpira cha mkoa kilicho karibu nawe atakusaidia ufanye kozi ya awali (preliminary).La hujampata nitumie email president@tff.or.tz
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom