Gor JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 2,791 Reaction score 850 Feb 14, 2015 #1 Napenda kujifunza ukoja wa futiboli, wapi naweza kupata kozi hiyo hapa nchini?
Jamal Malinzi JF-Expert Member Joined Feb 9, 2013 Posts 710 Reaction score 650 Feb 14, 2015 #2 Gor said: Napenda kujifunza ukoja wa futiboli, wapi naweza kupata kozi hiyo hapa nchini? Click to expand... Gor unaishi mkoa gani?mwone kiongozi wa chama cha mpira cha mkoa kilicho karibu nawe atakusaidia ufanye kozi ya awali (preliminary).La hujampata nitumie email president@tff.or.tz Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Gor said: Napenda kujifunza ukoja wa futiboli, wapi naweza kupata kozi hiyo hapa nchini? Click to expand... Gor unaishi mkoa gani?mwone kiongozi wa chama cha mpira cha mkoa kilicho karibu nawe atakusaidia ufanye kozi ya awali (preliminary).La hujampata nitumie email president@tff.or.tz