Kozi ya Ukocha wa Riadha Mkoa wa Mwanza

Kozi ya Ukocha wa Riadha Mkoa wa Mwanza

JFK wabongo

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2015
Posts
3,887
Reaction score
3,197
Nasikia Riadha mkoa wa mwanza wanaandaa kozi ya awali ya ukocha wa riadha, Sept 2017. Mwenye taarifa zaidi ya namna ya kujiandikisha na gharama za kushiriki, tafadhali.
 
Back
Top Bottom