Kozi ya Uprofessa

Askari Muoga

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2015
Posts
6,113
Reaction score
4,658
Asante wana jamvi mimi ni kijana mwenye upeo mkubwa wa kufikiri katika mambo mbali mbali ni mtu nilio jaliwa sana na kupewa akili za kutosha katika kupanga mipango na ku boresha mawazo na fikra za wenzangu
napenda sana kutumia akili alizo nijalia Mwenyezi Mungu Katika kutatua na kuondoa umasikini katika vijana wenzangu
je ni chuo gani kina chotoa kozi ya UPROFFESOR ILI NIKAJIUNGE NAMI NIWE PRO FFESOR
 
Duh, hata pakuanzia kukuelezea sijapaona kwa sababu naona kama hutanielewa
 
Duh,...sasa mbona hujapanga hii mada yako kwa hizo akili zako ili ueleweke"???? Tunashindwa kukusaidia.
 
Kamuulize Prof Maji marefu itakuwa raisi kwako kujiunga Na chuo alichosomea
 
Dah huyu jamaa ana akili mpaka zinamwagika!!
Nenda UDSM pale wanatoa Uprofessa hata bila ya kusomea!
 
dah..hii kweli kali..jamaa hata anacho andika haelewi..ila u le professor anautaka..haya kila la heri mkuu..
 
ka ni dish la Azam ningesema limeyumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…