Masalu Jacob
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 1,446
- 1,645
Hii ni sekta nyeti sana. Na kwasasa ulazima wa kufanya hivyo ni makubwa sana.Toa sababu mkuu, sio kuleta hoja isiyo na mashiko
Hii ni sekta nyeti sana. Na kwasasa ulazima wa kufanya hivyo ni makubwa sana.
Akili za kuchambiaHabari Tanzania !.
Naomba mamlaka husika kuanzia NACTVETA na TCU kozi zote za afya ziwe na mafunzo ya kijeshi kwa ulazima aisee. Yaani hao jamaa wakihitimu iwe vyuo binafsi au vya umma waende walau kozi ya kijeshi isiyopungua miezi 6 mpaka mwaka 1. Na wawe askari kamili.
Asante.
Lazima uende aisee. Ili mjue afya ni usalama wa raia na nchi. Yaani watoto wajue hili utake usitake.Hata kwa viboko siendi jeshin bora nibadili course
Nature na uhalisia kwa sasa. Hili halikwepeki. Hatutaki kuwa na watoa huduma ya afya wazembe. Tunataka wawe wazalendo kweli kweli.Kwahiyo wew unataka kua askari sio
Hatutaki baadae ujinga wa siasa uingie kwenye hii fani za afya aisee. Huko baadae wataanza kuleta maujinga kwenye mambo ya afya kuanzia watoto wenyewe ambao ni wataalamu na wanasiasa wasio jua lolote watalazimisha hizi kozi kuwa kama sanaa.Wewe unataka jeshi bila shaka ,hii njia unayopitia hutoboi ,home boy .
Fanya kufuatilia matangazo ya ajira hizo na uombe ila siri ni afya na nidhamu yako ndani ya jamii ,sawa ndugu ?
Ooh hiyo ni nzuri sana.Akili za kuchambia
Unabwabwaja tu. Hujatoa sababu bado.Hii ni sekta nyeti sana. Na kwasasa ulazima wa kufanya hivyo ni makubwa sana.
Unawaza kuwa kupata mafunzo ya jeshi ni ajira !?.. Nani kasema kuwa askari jeshi ni ajira. Huo ni wito. Watu wa afya wanajitoa maisha yao kwaajili ya uhai kwa watu wengine. Wanapaswa wapate hadhi ya kuwa askari jeshi. Kivyovyote vile ikiwapendeza wapate mafunzo hawa watu kuboresha uzalendo.Bado hujatushawishi mkuu,
Ni kivipi Kulazimisha Wahudumu wa afya kua Askati kuta leta positive impact kwenye utekelezaji wa majukumu yao?
Na kuna changamoto gani kwa sasa ambazo unazani, Millitary course ita ziondoa?
Wewe unahisi uwepo wa jeshi hapa nchini kuna umuhimu gani !?..Unabwabwaja tu. Hujatoa sababu bado.
Unawaza kuwa kupata mafunzo ya jeshi ni ajira !?.. Nani kasema kuwa askari jeshi ni ajira. Huo ni wito. Watu wa afya wanajitoa maisha yao kwaajili ya uhai kwa watu wengine. Wanapaswa wapate hadhi ya kuwa askari jeshi. Kivyovyote vile ikiwapendeza wapate mafunzo hawa watu kuboresha uzalendo.
Unawaza kuwa kupata mafunzo ya jeshi ni ajira !?.. Nani kasema kuwa askari jeshi ni ajira. Huo ni wito. Watu wa afya wanajitoa maisha yao kwaajili ya uhai kwa watu wengine. Wanapaswa wapate hadhi ya kuwa askari jeshi. Kivyovyote vile ikiwapendeza wapate mafunzo hawa watu kuboresha uzalendo.
JKT ile ya 6 ni siasa tu. Hapa nazungumzia jicho la taifa. Leo hii nchi inaweka usawa wa ulazima jamii ishiriki afya kwa wote. Unazani pasipokuwa na mafunzo hayo maalumu kwa hawa watu kutachochea molari kwao. Ukumbuke jeshi ni mambo ya kutii amri. Tunapaswa kuwa kwenye anga hilo.Sioni faida yake, matumizi mabaya ya muda na Pesa ! Ile jkt baada ya form six inatosha
Kwani kuna shida ukimaliza Udakitari wako au Ukunga au Mtaalamu wa maabala tukakupa mafunzo ya jeshi miezi 6 au mwaka 1. Ukaendelea na maisha yako mbona safi lakini.Uzalendo?
Kuna Taasisi wanapata mafunzo ya kijeshi na uaskari lakini ni corrupt na Wazembe sana, Mifano angalia hata Jeshi la Polisi.
Ingekua Ukipata mafunzo ya Kijeshi Automatically unakua mzalendo basi Polisi wangeongoza kwa utendaji kazi.