Unataka wagonjwa wawe wanaonewa kama tunavyoonewa na mapolisiHabari Tanzania !.
Naomba mamlaka husika kuanzia NACTVETA na TCU kozi zote za afya ziwe na mafunzo ya kijeshi kwa ulazima aisee. Yaani hao jamaa wakihitimu iwe vyuo binafsi au vya umma waende walau kozi ya kijeshi isiyopungua miezi 6 mpaka mwaka 1. Na wawe askari kamili.
Asante.
Ukiwaza kwa wema; hakika utaona wema katika maono yako. Ukiwaza tofauti utapata ukiwazacho.Unataka wagonjwa wawe wanaonewa kama tunavyoonewa na mapolisi
Polisi gani huyo anayetumia nguvu shem!?..Jeshi la polisi
Walipwe hata milioni 3 take home. Ni haki kwao. Hakika kazi yao ni njema na nzuri yenye kuleta ustawi mzuri kwa taifa.Hujaona uzi wa madokta wanalialia mshahara laki nane take home.
sasa waende tena jeshi kupoteza muda kwani wanajeshi waliopo hawatoshi?
KIMSINGI HAO WATAALAMU WANATAKIWA KUONGEZEWA MSHAHARA ILI WAFANYE KAZI KWA UTULIVU NA WAZIDI KUBOBEA.TOFAUTI NA HAPO WATAANZA KUKIMBIA HIZO FANI NA KUBAKI NA UHABA MKUBWA.
Hakuna wema wowote kati ya kutibu na jeshiUnataka wagonjwa wawe wanaonewa kama tunavyoonewa na mapolisi
Wajue wanapambania uhai wa raia.
Hakuna cha maana ulichosema MkuuHii ni sekta nyeti sana. Na kwasasa ulazima wa kufanya hivyo ni makubwa sana.