Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari Wana Jamnvi;
Msaada Kwa Kozi Bora Za Kusoma Kwa Mchepuo Wa Pcb Kwa Matokeo Yafuatayo.Physics D,chem C,bio C.
Nahitaji Mawazo Yenu Kuni Natarajia Ku Aply Mwaka Huu Na Nime Itim Mwaka 1014
Mwaka 1014?
Hawezi kupata civil engineering?
Habari Wana Jamnvi;
Msaada Kwa Kozi Bora Za Kusoma Kwa Mchepuo Wa Pcb Kwa Matokeo Yafuatayo.Physics D,chem C,bio C.
Nahitaji Mawazo Yenu Kuni Natarajia Ku Aply Mwaka Huu Na Nime Itim Mwaka 1014
anaweza kabisa kupata civil engineering bora tu pamoja na masomo mengine(physics,chemistry na biology) awe amefaulu pia BAM
Tunaupungufu mkubwa sana wa wataalam wa afya na walimu. Ukiweza kujilipia ada nenda MD vyuo vya private maana siku hizi bumu la kubahatisha ila ukienda education utakua umefanya jambo la maana na la kizalendo zaidi
anaweza kabisa kupata civil engineering bora tu pamoja na masomo mengine(physics,chemistry na biology) awe amefaulu pia BAM
we mpuuzi usidanganye uma kwamba kiu kuna vilaza kiu kuna watu nawajua wana dvsn 2 nzuri tu lakini wako pale hawakupenda kupelekwa ila ni tcuWe kilaza omba Education Science tu. MD na Pharmacy usiguse point zako ni za kiteule sana. Utaangukia pua. Ukiforce sana ndo utaishia KIU kwa vilaza wenzio
we mpuuzi usidanganye uma kwamba kiu kuna vilaza kiu kuna watu nawajua wana dvsn 2 nzuri tu lakini wako pale hawakupenda kupelekwa ila ni tcu