Kozi za education??

AUTOCATALYST

Member
Joined
May 27, 2015
Posts
69
Reaction score
17
Jamani wakuu, kuna hizi course mbili "bachelor of education in science na bachelor of science with education" nashindwa kuelewa tofauti yake hasa katika "fields of work" kwa walozisoma.Yeyote mwenye kuzifahamu naomba anieleweshe wakuu!
 
"in edu" maana yake unasoma somo moja la kufundishia lakn "with edu" unasoma masomo mawili ya kufundishia, lakn kwa sasa kuna mfumo mpya kwa wenye somo moja wanamine koz za somo la pili
 
"in edu" maana yake unasoma somo moja la kufundishia lakn "with edu" unasoma masomo mawili ya kufundishia, lakn kwa sasa kuna mfumo mpya kwa wenye somo moja wanamine koz za somo la pili

Ahsante mkuu but "wanamine koz za somo la pili" umemaanisha nini?
 
in education utasoma somo moja la kufundishia pamoja na masomo mengii ya ualimu. pia utakuwa ni mwalimu maisha yako yote yaani hata ufanye masters. With education utasoma masomo mwawili ya kufundishia huku ukiwa na fursa ya kufanya masters isiyohusiana na ualimu baadaye.
 
Jamani wakuu, kuna hizi course mbili "bachelor of education in science na bachelor of science with education" nashindwa kuelewa tofauti yake hasa katika "fields of work" kwa walozisoma.Yeyote mwenye kuzifahamu naomba anieleweshe wakuu!

Bachelor of education in science au bachelor of science in education ????????
 
Hakuna course inayokufanya uwe mwl maisha yko yote usidanganye bhana
 
Ahsante mkuu but kama kuna lugha mbili tofauti"in science ie bachelor of education na with education ie bachelor of science" hapo vipi mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…